Kabla ya siku kuanza

Kabla hujaenda kitandani

Kabla hujaenda kazini au shuleni

Kabla hujatuma huo ujumbe

Katika kila hali

Omba kwanza

Pata programu

Tutakutumia kiungo moja kwa moja kwenye simu yako.

Utapokea ujumbe mfupi kutoka kwa Omba Kwanza. Ada za data ya ujumbe zinaweza kutozwa. Marudio ya ujumbe hutofautiana. Jibu STOP

Inahusu kuzungumza na Mungu.

Ni kweli hakuna usanii au uzoefu kwenye maombi, lakini kuna njia na taratibu kadhaa ambazo zinaweza kutusaidia kupata muunganiko. Mtandao huu wa omba kwanza uFuatilia siku 21 za maombinakupitisha kwenye mwongozo wa mipangilio ya maombi.

Kuomba kupitia maandiko

Neno La Mungu

Maombi ya vita

Kabiliana na adui

Wale wanao mhitaji Mungu

Shirikiana na Mungu ili kuwafikia waliopotea

Ombi la Yabesi

Kwenye 1 Nyakati 4:10

Maombi Ya Kwenye Hema

Makazi ya Mungu kwenye Agano la kale

Sala ya Bwana

Mtindo wa maombi aliotoa Yesu

Fuatilia siku 21 za maombi

kila mwezi wa Nane(Agosti) na wa kwanza(januari)

Maelezo zaidi juu ya siku 21 za maombi

Inapatikana katika Kiingereza, Kihispania, na Kiswahili

Sikiliza kwa umakini

Kaa katika maombi na kusikiliza toleo jipya la nyimbo za kuabudu kutoka kanisa la “The Highlands”, Reflections.

Highlands Worship

Njia zingine za kusikiliza

​​Unda ratiba yako ya maombezi

Viongozi wa makanisa

Mtandao wa omba kwanza upo bure kabisa bila malipo kwa ajili ya kanisa lako! Ni ombi letu kwamba kila mtu atafikia kiwango na makusudi mapya, nguvu mpya, na kufurahia maisha yao ya maombi.

Wasiliana na kikundi chetu